2 Oktoba 2013 - 20:30
Zaidi ya 80 wafa maji wakielekea Ulaya

watu wasio pungua themanini wanaosadikiwa kuwa ni wahamiaji wamepoteza maisha wakijaribu kuelekea ulaya.

wahamiaji hao ambao wengi wao wana asili ya Afrika wamepoteza maisha baada ya meli walokuwa wamepanda kushika moto na hatimaye kuzama katika kisiwa cha  Lampedusa kilichopo baina ya Tunisia na Sicily.ni muhimu kuashiria kuwa wahamiaji wengi wakiafrika wamekuwa wakikumbana na matatizo chungu mzima hasa nanapojaribu kutumia njia za kificho kuelekea nchi za Ulaya kwa minajili ya kutafuta maisha.